skip to Main Content
+255 713 860 515 / +255 767 860 515 tuliatrust.org@gmail.com
MBEYA TUNAWASALIMU KWA JINA LA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MBEYA TUNAWASALIMU KWA JINA LA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Yale Mashindano ya Ngoma za Asili, TULIA TRADITIONAL DANCE FESTIVAL yamerudi tena kwa kishindo na safari hii yatafanyika katika Uwanja wa Airport ya zamani Jijini Mbeya.

   Ni Kuanzia Tarehe 23-25/09/2021, TUUENZI UTAMADUNI WETU

Back To Top
Search